Thursday, October 19, 2017

SIKU YA MWAGO WANGU,SIKU NISIYOISAHAU MAISHANI

Ninamshukuru Mungu Baba kwa kunifikisha siku ya leo na kunifanikisha katika sherehe yangu ya kuagwa na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki
Bibi harusi akiwa na Matron saluni
Bibi harusi akiwa ametulia kwa picha
Bibi harusi na wapambe wake
Bibi harusi na dada wake
Bibi harusi akitoka saluni

No comments:

Post a Comment